Card image cap
Kombe la Dunia FIFA 2022: Ureno Vs Moroko
25
1

Mechi za kombe la dunia la FIFA 2022 zimeingia roundi ya robo fainali baada ya kumaliza mzunguko wa timu 16 bora, na tumeshuhudia washindi 8 watakaochuana katika mzunguko wa robo fainali. Mimi ni mpenzi wa mpira wa miguu na napenda kuangalia mechi zote nikijaliwa muda, lakini najua kabisa haitawezekana kuziangalia zote. Hata hivyo kwa vile YEM BET inanipa nafasi ya kujipatia zawadi kwa kubashiri mshindi tu, basi nafasi hiyo sitaiacha, nitabashiri mshindi kwa kila mechi nijipatie YEM za bure. Kama upo tayari kushiriki nami Je Ureno itaishinda Moroko?

How do you vote?

Card image cap